Je CINEMANENOZ ni nini?


CINEMANENOZ ni kikundi cha vijana kutoka Nairobi, amabao wana nia ya kutengeneza filamu na upigaji picha. Tunamakinika kwa kukuza ujuzi na kuieneza kati ya vijana kutoka Africa Mashariki wanao zungumza lugha ya Kiswahili na pia kuchunguza ujenzi wa filamu na upigaji picha. Ukitaka kujiunga nasi jijumuishe ama ututafuate kwenye mitandao ya YouTube ama Facebook ili uweze kuona sinema mpya. Tunajivunia kuwezeshwa na kusaidiwa na Mathare Youth Sport Organisation (MYSA). Hii ni CINEMANENOZ!


CINEMANENOZ is a group of young people from Nairobi, interested in filmmaking and photography. We are keen on developing our knowledge and spreading it among other young people from Eastern Africa who speak Kiswahili and who are also keen on exploring this field. If you wanna join us, just subscribe us on YouTube or follow us on Facebook so that you will not miss new episodes. We are proudly empowered and supported by Mathare Youth Sport Organisation. This is CINEMANENOZ!logo SUBSCRIBE!

Proudly powered by:

logo logo

Tutazame sasa!


Timu


Anthony

Anthony

Mtangazaji

Charles

Charles

Mhandisi wa sauti, DOP

Christine

Christine

Mtangazaji

Gideon

Gideon

Mtangazaji, DOP

Hempstone

Hempstone

Mhandisi wa sauti, Mtangazaji

Newton

Newton

Mwanafunzi

Paul

Paul

Mhandisi wa sauti

Richard

Richard

DOP

Ruth

Ruth

Mwelekezi

Sabina

Sabina

Mtangazaji, Mwelekezi

Tracey

Tracey

Mtangazaji

Tracy

Tracy

Msaidizi wa mwelekezi

Umul

Umul

Mwanafunzi

Wambo

Wambo

Msaidizi wa mwelekezi

Petr

Petr

Producer, Msimamizi mswada

Lisa

Lisa

Msimamizi mswada

Maila

Maila

Msimamizi mswada

Kasia

Kasia

Msimamizi mswada

Peter

Peter

Msimamizi mswada